August 16, 2016


Yannick Bolasie aria wa DR Cingo jirani ya Tanzania ameiacha Crystal Palace na kutua Everton maarufu kama Toffee.

Amesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya pauni million 30 ili ahamishie makali yake ndani ya  Goodison Park.


Pamoja na kuonekana naye ‘amepiga’ fedha, lakini BIlasie amesisitiza kwamba amekwenda kwa kuwa anataka mafanikio na si suala la fedha.1 COMMENTS:

  1. Eti jirani ya Tanzania, kwani kuna mtu hahui kama DRC ni jirani na Tz

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV