August 4, 2016
Mshambuliaji nyota wa Azam FC, Kipre Tchetche raia wa Ivory Coast ametua rasmi katika kikosi cha Al Nahdha  FC nchini Oman.

Azam FC ilitangaza Tchetche ambaye aligoma kurejea nchini kuwa ina mkataba naye wa mwaka mmoja na hatakwenda popote.


Lakini tayari Tchetche ametambulishwa jijini Muscat kujiunga na Al Nahda moja ya klabu kubwa zinazochipukia nchini humo.

1 COMMENTS:

  1. habari imeshachuja hiyo ni ya long time kitambo tuu!

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV