Rais wa Simba, Evans Aveva anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru).
Taarifa zinaelezwa kuwa Takukuru wanamshikilia Aveva kwa tuhuma za rushwa ingawa haijaelezwa ni tuhuma zipi.
Habari za uhakika zinaeleza, Aveva amekamatwa jana na amelala katika moja ya vituo vya polisi jijini Dar es Salaam.
Duh wana simba kwa uchochezi!Sasa kumpeleka rais wenu lupango ndio njia ya kumpisha MO kuchukua timu?Pole sana kaka yangu Evans ndio ushabiki wa kitanzania ulivyo!
ReplyDeleteRushwa ya uchochezi duh
ReplyDelete