August 4, 2016Simba imekata mzizi wa fitina baada ya mshambuliaji aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu kubwa, Laudit Mavugo kutua nchini jana usiku.

Mavugo nchini akitokea Burundi tayari kumalizana na Simba na kila kitu kilikwenda kimyakimya.


Uongozi wa Simba umekuwa ukihaha kumnasa mshambuliaji huyo raia wa Burundi ambaye anakipiga katika kikosi cha Vital’O.

1 COMMENTS:

  1. Hao washabiki mbona siwaelewi maana mmoja kavaa jezi ya Juventus na mwingineya Yanga,sasa hapo kuna amani kweli?

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV