August 14, 2016


Mo Farah ambaye alionekana kama ameporomoka kiwango, amewafunga mdomo wote walioamini hivyo kwa kushinda medali aya dhahabu katika mbio za mita 10,000 katika Michezo ya Olimpiki inayoendelea Rio nchini Brazil.

Farah raia wa England mwenye asili ya Somalia ameshinda mbele ya Mkenya Paul Tanui aliyekuwa akipewa nafasi kubwa ya kushinda.

Mwanzo mea mbio hizo, Farah alijikwaa na kuanguka, lakini akainuka na kupambana hadj mwisho alipofanikiwa kushinda.

Ushindi huo pia unamfanya Farah kuweka rekodi ya kuwa mwanariadha wa kwanza wa Uingereza kushinda medali tatu za dhahabu Mita 10,000.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV