August 14, 2016


Nyota wa zamani wa Gary Lineker jana ameendesha kipindi akiwa amevaa nguo ya ndani.

Nyota huyo alifanya hivyo kutimiza ahadi yake ya kufanya hivyo kwa kuwa aliahidi angeweza kufanya hivyo kama Leicester City ingetwaa ubingwa wa Ligi Kuu England.

Lineker alifanya hivyo huku watangazaji wenzake ambao ni magwiji wa zamani pia, Ian Wright na Alan Shearer wakicheka lie mbaya.

Lineker alikuwa haamini kama Leicester ingebeba ubingwa wa England. Mwisho ikachukua ubingwa naye ndiyo hivyo, ametimiza ahadi tena nguo yake ya ndani ikiwa na nembo ya Leicester.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV