August 3, 2016

LOGA
Kikosi cha Interclub cha Angola, hakitaweza kuja katika mechi ya Simba Day dhidi ya wenyeji wake Simba.

Nafasi hiyo sasa imechukuliwa na AFC Leopards ya Kenya ambayo itakuwa na kasi ya kupambana na Simba Agosti 8 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Awali, Interclub inayonolewa na Kocha wa zamani wa Simba, Zdravko Logarusic ilikuwa ije nchini kwa ajili ya mechi hiyo.


Habari kutoka ndani ya Simba, zinaeleza Leopards itawasili nchini siku mbili au moja kabla ya Simba Day ambayo ni Nane Nane.

1 COMMENTS:

  1. Welcome to CommHubb – you now own a piece of it!Just click the link below!
    http://www.commhubb.com/affiliate.php?ref=205643

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV