August 13, 2016


Jopo la makocha kutoka Hispania wanaokinoa kikosi cha Azam FC wamepania kuhakikisha beki Serge Wawa raia wa Ivory Coast anarejea katika kiwango chake.


Kazi ilianzia kwa Shomari Kapombe, sasa ni kwa Wawa na hawa wote walikuwa majeruhi. Kocha wa viungo aliye chini ya Kocha Mkuu Zeben Hernandez amekuwa akifanya kazi hiyo kuhakikisha Wawa naye anakuwa fiti ingawa si kazi rahisi.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV