September 8, 2016


Baada ya Simba kuizamisha Ruvu Shooting kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, furaha ya mashabiki wake ilikuwa haifichiki.

Lakini ugumu wa mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara haikuwa rahisi na muda mwingi kwa mashabiki ilikuwa ni “kukamatia” chini au “kushika” mioyo maana Shooting nao, walikuwa hawaeleweki, maana kama wanasawazisha kila wakati.


Hali hiyo ilisababisha midadi kwa baadhi ya mashabiki wa Simba waliojitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV