September 8, 2016


Baada ya sare, Simba imerejea kwenye Ligi Kuu Bara na kutoa kipigo cha mabao 2-1 kwa Ruvu Shooting ambao walitamba ile mbaya.

Simba imeshinda mechi yake ya kwanza kwenye Uwanja wa Uhuru ambao ulifungwa na kufanyiwa matengenezo kwa zaidi ya miaka mitatu.


Lakini mabao ya Ibrahim Ajib ‘Cadabra’ na Laudit Mavugo, yameifanya Simba kuamka upya na kuwazamisha maafande wa Ruvu Shooting.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV