HAMAD |
Beki wa pembeni wa Simba, Hamad Juma ameanza mazoezi na wenzake.
Juma aliyejiunga na Simba akitokea Coastal Union, alianguka bafuni wiki moja na nusu iliyopita na kupasuka kichwani.
Lakini tayari ameanza mazoezi na kikosi cha Simba ambacho jana kimeibuka na ushindi wake wa pili kwenye Ligi Kuu Bara katika mechi tatu baada ya kuichapa Ruvu Shooting kwa mabao 2-1.
HAMADI JUMA AKIWA NA GEORGE MGANGA |
0 COMMENTS:
Post a Comment