September 16, 2016

Baada ya kupoteza mechi dhidi ya Feyenoord katika Europa League, wachezaji wa Manchester United, viongozi na benchi lote la ufundi wamerejea jijini Manchester, wakiwa na sura za upole.


 

Kocha wa timu hiyo, Jose Mourinho alikuwa mmoja wa walioonyesha kutokuwa na furaha baada ya kipigo hicho ambapo alifanya mabadiliko ya wachezaji nane wa kikosi cha kwanza katika mchezo huo.


Bailly

Fellain

Blind

Smalling

MataSchneiderlin

Martial

Pogba

Darmian & De Gea

Rashford

Rojo

Zlatan

Mchezaji ghali kuliko wote duniani katika soka, Pau Pogba alikuwa mmoja wa walioonyesha kukosa furaha kwa kuwa hicho ni kipigo cha pili mfululizo baada ya wiki iliyopita kufungwa na Manchester City mabao 2-1 katika Premier League.

Pamoja na hivyo, wachambuzi wa soka wametoa maksi zifuatazo kwa kikosi hicho kwa jinsi walivyocheza katika mchezo huo ambao walianza kwa kutumia mfumo wa 4-2-3-1.
 
MANCHESTER UNITED (4-2-3-1)
DAVID DE GEA              - 6
MATTEO DARMIAN        - 5
ERIC BAILLY                  - 6
CHRIS SMALLING          - 5.5
MARCUS ROJO             - 4
ANDER HERRERA         - 5.5
MORGAN SCHNEIDERLIN - 5
JUAN MATA                   - 5.5
PAUL POGBA                - 5
ANTHONY MARTIAL      - 5
MARCUS RASHFORD    - 6

Walioingia wakitokea benchi
ZLATAN IBRAHIMOVIC  - 6
ASHLEY YOUNG          - 5
MEMPHIS DEPAY          - 5

Kocha
Jose Mourinho - 5

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV