September 11, 2016Afrika Mashariki bado ipo katika simanzi kutokana na kumpiteza kocha wa zamani wa Simba, James Siang’a ambaye alifariki jana alfajiri nyumbani kwake Bungoma nchini Kenya baada ya kuugua kwa muda mrefu. 

Siang'a

Milovan

Liewig

Kerr

Phiri
 
Siang'a

Mayanja

Kibadeni


Loga
 Siang’a ambaye enzi zake alipokuwa kicheza alikuwa kipa, anakumbukwa na wengi kutokana na kuipa mafanikio makubwa Simba mwanzoni mwa miaka ya 2000. Tujikumbushe mara baada ya Siang’a kuanz akazi Simba kisha kuondoka, kina nani walifuata baada yake. Salehjembe inakukumbusha makocha hao na mtiririko wao ulivyokuwa mpaka sasa:


MWAKA     KOCHA                 URAIA
2001       James Siang’a            Kenya
2005       Patrick Phiri                Zambia
2006       Neider dos Santos      Brazil
2007       Talib Hilal                   Tanzania
2010       Milovan Cirkovic          Serbia 
2010       Patrick Phiri                Zambia
2011       Krasmir Benziski         Bulgaria
2012       Moses Basena            Uganda
2012       Milovan Cirkovic          Serbia
2012       Partick Liewing           Ufaransa
2013       Abdallah Kibaden       Tanzania
2013/4    Zdravko Logarusic      Croatia
2014       Patrick Phiri                Zambia
2015       Goran Kopunovic         Serbia
2015       Dylan Kerr Serbia         England
2016       Jackson Mayanja (care taker)        Uganda
2016       Joseph Omog              Cameroon

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV