September 8, 2016Makocha Zinedine Zidane na Diego Simeone wanaongoza kwenye jura za makocha wenye heshima kubwa kwenye La Liga nchini Hispania.

Makocha hao, wamepata jura nyingi zaidi kupitia mtandao katika shindano linaloendeshwa na kampuni kubwa katika mawasiliano na upigaji jura kwenye mitandao ya Comunicar es ganar, maarufu kama wasiliana na ushinde.


Simeone anaongoza kwa kuwa na asilimia  78.6 kati ya 100 na Zidane anafuatia akiwa na 74.3.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV