September 25, 2016Hakuna ubishi kuwa kiungo mshambuliaji wa Arsenal, Mesut Ozil anaijua kazi yake.

Ozil, Mjerumani mwenye asili ya Uturuki, anaendesha magari mbalimbali, mojawapo analomiliki ni Mercedes Benz SUV.

Ukiachana na gari, anavaa kwa staili ya aina yake. Hii inaonyesha anavyoweza kusherekea mafanikio aliyonayo.


Kazi ni jambo muhimu, vema kuifanya kwa ubunifu zaidi, kwa juhudi na ufanisi.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV