October 28, 2016

Uongozi wa klabu ya Yanga, umelezimika kumuangukia Kocha Hans van der Pluijm na hii ni barua ambayo uongozi wa klabu hiyo ukimuandikia kukataa ombi lake la kutaka kuachia ngazi.

Pluijm aliandika barua kujizulu baada ya Yanga kuamua kufanya mazungumzo na Kocha George Lwandamina raia wa Zambia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV