KIUNGO BORA WA LA LIGA, TUZO YAENDA KWA MIDO 'KISHETI' LA LIGA NZIMA Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric ameshinda tuzo ya kiungo bora wa La Liga kwa msimu wa 2015-16. Modric ambaye msimu huu amekuwa akisumbuliwa na majeruhi, ndiye ameibuka bora na kuwabwaga wengine kutoka Barcelona na Atletico Madrid.
0 COMMENTS:
Post a Comment