Kocha Hans van der Pluijm, amezungumza na wachezaji wa Yanga na kuwaafa, leo.
Wakati anawaaga na picha hii inaonyesha kiasi gani walikuwa wameshangazwa na hali ilivyokuwa.
Pluijm anaondoka baada ya Yanga kumtwaa George Lwandamina kutoka Zambia, ambaye hata hivyo bado hasaini mkataba, imeelezwa. ANGALIA.
0 COMMENTS:
Post a Comment