MPIRA UMEKWISHAAAAAAADAKIKA 3 ZA NYONGEZA
DK 80 hadi 89, Simba wanaumiliki vizuri mpira, wanaonekana wameridhika na mabao yao mawili na kucheza taratibu. Haya hivyo City wanajitahidi kuongeza juhudi kuhakikisha wanapata angalau bao moja
SUB 68, Ndemla ameingia kuchukua nafasi ya Ajib, Mohammed Ibrahim anaingia kuchukua nafasi ya Kichuya ambaye ameumia
Dk 63, Ame Ali anapoteza nafasi nzuri ya kufunga hapa na City wanaokoa
Dk 58, hatari kwenye lango la Simba, shuti kali linagonga mwamba na kuokolewa
SUB Dk 58, Ame Ali anaingia kuchukua nafasi ya Blagnon
Dk 55, Simba wanapata kona, inachongwa maridadi hapa na Kichuya lakini mwamuzi Mahagi anasema kipa City amefanyiwa madhambi
Dk 49, Raphael anapiga faulo inamgonga usoni Angban na mabeki wa Simba wanaokoa lakini yeye yuko chini anatibiwa
Dk 46, City ndiyo wanaanza kwa kasi wakishambulia lakini Lufunga anawahi na kuokoa ndani ya 18
MAPUMZIKO
-Mbeya City wanafanya shambulizi na kupata kona baada ya mpira kumbabatiza Bukungu lakini Angbani anadaka kwa ufundi wa juu kabisa
DAKIKA 2 ZA NYONGEZA
Dk 44, bado mambo yanakwenda si makali na katikati ndiyo kunaonekana kuwa na upinzani zaidi
Dk 38 hadi 42, mpira unaonekana kupooza, Simba ndiyo wanaoumiliki zaidi lakini wanacheza taratibu na Mbeya City wanaonekana kuingia kwenye mtego huo.
Dk 36, Kichuya tena anapiga shuti kali lakini kipa anaokoa na kuwa kona, inachongwa wanaokoa, Bukungu anapiga tena, kona. Inachongwa tena, wanaokoa Mbeya City
GOOOOOOOOOO Dk 34, pasi safi kabisa ya Mkude, Kichuya anaingia vizuri kabisa na kufunga kwa ufundi kabisa
Dk 22, Kichuya anaingiza krosi nzuri sana, lakini Rajab Zahir anaokoa vizuri kabisa
Dk 18, mpira wa kona unachongwa vizuri kwenda kwenye lango la Simba lakini kipa Angban anaokoa vizuri kabisa lakini mwamuzi Mahagi anasema amechezewa faulo
Dk 14, Blagnon anakwenda vizuri hapa anapiga na anashindwa, kipa anaokoa hapa
Dk 13, PENAAAAAAAAT anaangushwa Blagnon
Dk 8, Simba wanaingia vizuri hapa lakini
GOOOOOOO DK 6, Ajib anaifyungia Simba faulo moja safi kabisa nje ya 18 na kufunga bao safi
Dk 4, Kichuya anawachambua mabeki wa Mbeya inakuwa ni faulo hapa
Dk ya 1, Blagnon anapoteza nafasi nzuri kabisa hapa....
KIKOSI CHA SIMBA LEO VS YANGA:

Vicent Agban
Janvier Bukungu
Mohamed Zimbwe
Method Mwanjali
Novart Lufunga
Jonas Mkude
Mzamiru Yasin
Mwinyi Kazimoto
Shida Kichuya
Frederic Blagnon
Ibrahim Ajib
Subs..
Peter Manyika
Abdi Banda
Juuko Murshid
Said Ndemla
Ame Ali
Laudit Mavugo
Mohamed Ibrahim
Braza vs yanga tena?
ReplyDeleteBraza vs yanga tena?
ReplyDelete