October 12, 2016




MPIRA UMEKWISHAAAA
-Mpira haujatulia, Yanga wanamiliki mpira kutaka kupoteza muda, Mtibwa bado wana presha ya kupata bao. Lakini hawana mwelekeo mzuri kwa kuwa mashambulizi yao si makali

DAKIKA 6 ZA NYONGEZA
DK 90, Mtibwa wanapata kona baada ya Mbonde kuingia vizuri lakini Dante anatoa hapa. Inachongwa na Baba Ubaya, Dida anaokoa na Yanga wanaokoa
Dk 87, Tambwe anatibiwa baada ya kugongana na beki wa Mtibwa Sugar
Dk 84, mpira unaonekana hauna kasi sana kwa kuwa Yanga wanaupoza wakionekana wameridhika na kutangulia kwa mabao mawili hadi sasa

GOOOOOOOOO Dk 79, MWahiuya anaingia vuzuri, anapiga krosi safi na Ngoma anamalizia vizuri kabisa na kuiandikia Ynaga bao la tatu
SUB Dk 75, Kelvin Friday anaingia kuchukua nafasi ya Chanongo upande wa Mtibwa
Dk 73, Juma Said Makapu anatoka na Mbuyu Twite anaingia kuchukua nafasi yake
GOOOOOOOOO Dk 68, Msuva anaifungia Yanga bao safi kwa shuti, mpira ukienda nyavu ndogo

Dk 64, Yanga wanaonekana kucharuka zaidi, Mtibwa wanalazimika kuwa makini kwa kuwa wana makosa mengi

GOOOOOOOOOO Dk 63, Chanongo anafunga kali kabisa na kuandika bao safi kabisa kwa shutu kalii baada ya Mbonde kuwavuruga Yanga
Dk 58, Mtibwa wanaonekana kubadilika na kucheza kwa kushambulia zaidi. Hata hivyo wanaonekana kuwa na tatizo la umaliziaji
Dk 52, Yanga wanaendelea kushambulia kwa nguvu ingawa mashambulizi yao hayana 'macho'
DK 46, Mechi imeanza kwa kasi, bado Yanga wanaonekana kushambulia kwa kasi lakini Mtibwa wanaonekana wako vizuri zaidi katikati ya uwanja

MAPUMZIKO
-Chirwa anapoteza nafasi nyingine safi kabisa baada ya krosi ya Msuva
DAKIKA 3 ZA NYONGEZA
GOOOOOOOOOOO Dk 45, Chirwa anafunga bao safi baada ya kros nzuri ya Mtibwa, mabeki wa Mtibwa wakiwa wamezubaa na yeye anaandika bao safi kwa shuti ka;li

DK 42 hadi  44, mpira unaonekana hauna makali, hakuna shambulizi kali kila lango
Dk 39 Yondani anapanda kusaidia mashambulizi, anatoa pasi nzuri kwa Juma Abdul lakini Mtibwa wanawahi ana kuokoa
Dk 35, bado inaonekana mambo si mazuri kwa pande zote, hakuna dalili za kupata bao na mpira unachezwa katikati zaidi
Dk 32, Simba wanaingiza krosi safi, hatari kabisa lakini mchezaji wa Mbeya City yuko chini, anatibiwa pale
Dk 29, Kamusoko anageuka na kupiga shuti kali lakini Tinocco anaokoa vizuri kabisa hapa
Dk 26, Juma Abdul anapiga krosi safi hapa, lakini Baba Ubaya ashika, faulo na inachongwa na Juma Abdul hapa, Dante anaruka na kupiga, anashindwa kulenga lango

Dk 24, Issa Rashid au Baba Ubaya anapigwa krosi safi hapa al manusura, lakini Dida anaokoa hapa
Dk 17, Juma Abdul anapiga shuti kali kabisa hapa, lakini linapita juu kidogo tu
Dk 16, bado hakuna mashambulizi mazuri kutoka kila upande, mpira unachezwa katikati ya uwanja zaidi

Dk 13, Tambwe anaingia vizuri hapa, anapiga chenga mabeki wawili lakini anajichanganya mwenyewe
Dk 5 had 9, Yanga wanaonekana kumiliki mpira zaidi na wakicheza kwa kasi, lakini mara kadhaa Mtibwa Sugar wanajibu kupitia Jeba hasa sehemu ya kiungo
Dk 2, Chirwa anaingia vizuri na kufanya shambulizi kali lakini kipa anaokoa na mabeki wanaokoa
Dk 1, Juma Abdul anaingia na kupiga shuti kali, goal kick

KIKOSI CHA YANGA
1.Deogratius Munish

2.Juma Abdul
3.Haji Mwinyi
4.Vicent Andrew
5.Kelvin Yondani
6.Said Makapu
7.Saimon Msuva
8.Thaban Kamusoko
9.Amisi Tambwe
10.Obrey Chirwa
11.Deus Kaseke

Akiba:
1.Beno Kakolanya
2.Matheo Antony
3.Pato Ngonyani
4.Juma Mahadhi
5.Geofrey Mwashuiya
6.Mbuyi Twite

7.Donald Ngoma

8 COMMENTS:

  1. Daa braza leo nimekubali upo mzigon...timu tatu mechi moja

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah ... aisee umeonaeee !!!!???

      Delete
    2. Yaani Mtibwa 3 Yanga 1 kaazi kweli kweli wataalamu wetu wa habari.

      Delete
  2. Dk 32, Simba wanaingiza krosi safi, hatari kabisa lakini mchezaji wa Mbeya City yuko chini, anatibiwa pale

    brazaa :o :o :o :o

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hao wanaotoa tiba waliingia saa ngapi? ... duhh!!! Leo mambo kwa kweli

      Delete
  3. Unatuchanganya jembe, mtibwa 2 yanga 1 ?
    Hausomeki mzee

    ReplyDelete
  4. Matokeo ya taifa yapo sahihi kweli?NaNadhani kuna Typing error

    ReplyDelete
  5. LIVE KUTOKA UHURU: YANGA 1 VS MTIBWA SUGAR 3 (FULL TIME). Hivi ukisha andika huwa hupitii tena braza,nakushauri kama umekasimisha blog yako kwa mtu awe ana update mfute kazi, blog yako inawezekana ikawa inaongoza kwa uandishi wa ovyo kabisa, makosa ya kototo kabisa, nakushangaa unapovimbanga mishipa kuwakosoa tff wakati na wewe hauko serious na mambo madogo kama haya, shame!!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic