October 25, 2016


Kocha Hans van der Pluij, hatimaye leo amepata nafasi ya kuwaaga wachezaji wake katika kikosi cha Yanga.

Pluijm raia wa Uholanzi ameamua kubwaga manyanga katika kikosi cha Yanga baada ya uongozi kumleta nchini George Lwandamina.


Wakati Yanga wakiwa mazoezini leo kwenye Uwanja wa Chuo cha Polisi Kilwa Road, Pluijm aliibuka akiwa ‘mkanda nje’ na kupata nafasi ya kuzungumza wachezaji wake wa zamani kwa muda.


Wachezaji walionekana wazi kuwa na mshituko, lakini Pluijm amewaaga.

“Ametutaka tuendelee na kazi yetu, ametushukuru na kutuaga,” alisema mmoja wa wachezaji.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic