October 11, 2016

UTAKAVYOKUWA...
Real Madrid imepania kuufanyia uwanja wake wa Santiago Bernabeu kwa kumwaga kitita cha pauni million 360.

Tayari FC Madrid imefikia mabakubaliano na uongozi wa jiji la Madrid ili kuanza ukarabati na kuupa uwanja huo maarufu duniani muonekano mpya.

SALEHJEMBE AKIWA NJE YA DIMBA LA SANTIAGO BERNABEU
Makadirio yanaonyesha ukarabati huo utakuwa wa taratibu na kwa mipango na unatarajia kukamilika mwaka 2020.

MWONEKANO WA SASA WA SANTIAGO BERNABEU0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV