October 28, 2016


 Beki wa Yanga, Kelvin Yondani huenda akaikosa mechi yao dhidi ya Mbao FC keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Yondani alikaa nje wakati Yanga wakijifua kwenye Uwanja wa Uhuru kujiandaa na mechi hiyo leo.
Daktari wa Yanga, Edward Bavu amesema tatizo kubwa la Yondani si kubwa sana lakini inawezekana kucheza ingawa asilimia ni chache sana.
Beki huyo kisiki wa Yanga, amekuwa tegemeo kubwa kwenye safu ya ulinzi ya kikosi hicho na ameipatia mafanikio makubwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic