November 13, 2016


Msaada katika kikosi hicho na hapa anaonekana akisaidia kusukuma toroli lililojaa maji kwa ajili ya wachezaji walio mazoezini.


Lingeweza kusukumwa na daktari wa timu au meneja, lakini Ulimwengu ameonyesha pamoja na kuwa staa, lakini bado anaweza kusaidia kazi nyingine ndani ya kikosi hicho nje ya uwanjani. Safi sana.

Taifa Stars iko mjini Harare ikisubiri kuivaa Zimbabwe katika mechi ya kirafiki ya kalenda ya Fifa, leo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic