November 13, 2016


Kikosi cha Taifa Stars kilitua salama na wachezaji wako tayari kwa ajili ya kuwavaa wapinzani wao Zimbabwe katika mechi ya kirafiki mjini Harare, leo.

Stard imesafiri hadi mjini humo kwa ajili ya mechi ya kirafiki dhidi ya wenyeji wake hao na tayari imefanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya mechi hiyo.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV