Mshambuliaji nyota wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang ambaye alisimamishwa katakana na utovu wa nidhamu amerejea kikosini na kuonyesha ni mtu hatari baada ya kupiga mabao manne katika ushindi wa 5-2.
Dortmund imeigaragaza Hamburg SV katika mechi kali ya Bundesliga na kuifanya timu kushinda mfululizo katika mechi tano.
0 COMMENTS:
Post a Comment