November 12, 2016

PIQUE AKIWA NA SALEHJEMBE


Beki wa kati wa Barcelona, Gerard Pique Bernabeu amesema atastaafu soka la kimataifa mara baada ya michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2018.

Pique ambaye ni beki tegemeo wa timu ya taifa ya Hispania, amesema hatabadili uamuzi wake huo na lengo ni kutoa nafasi kwa wengine.


Ingawa kumekuwa na mjadala kuhusiana naye, kwamba anataka kustaafu mapema. Yeye amesema, hatabadili uamuzi huo baada ya michuano hiyo ya Kombe la Dunia nchini Russia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV