November 15, 2016


Mchezaji mpira wa kikapu wa mstaafu Shaquille O'Neal  imeelezwa amemchumbia mpenzi wake wa sikh nyingi.
O’Neal mwenye urefu wa Futi 7 na Laticia Rolle mwenye urefu wa futi 5 na inchi 6.
Wawili hao wapendanao wamekuwa maarufu kutokana na muonekano wao hasa tofauti kubwa ya maumbo. 
Wameonekana wakiwa Miami Beach, Florida kwao nchini Marekani lakini hakuna aliyekuwa tayari kuzungumzia uhusiano wao. 

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV