November 17, 2016


Hatimaye Azam FC, imetangaza kuachana na mchezaji Kipre Bolou raia wa Ivory Coast.

Azam FC, imemuachoa Bolou, ndugu ya Kipre Tchetche aende zake baada ya mkataba wake kwisha.

Msemaji wa Azam FC, Jaffar Iddi amethibitisha kuhusiana na wao kuagana na Bolou.


Bolou alitua Azam FC akiwa na ndugu yake Tchetche ambaye sasa yupo nchini Oman anakocheza soka la kulipwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV