November 2, 2016


Yule kinda wa maajabu hatimaye ameanza kuichezea timu ya taiga chino ya miaka 16 kwa mara ya kwanza.

Karamoko Dembele ana umri wa miaka 13, anakipiga katika timu ya Celtic ya Scotland na jana alianza kuichezea timu hiyo ya taiga Scotland, vijana chini ya miaka 16 wakati ilipoivaa Wales katika mechi iliyoisha kwa dsare.

Dembele, alingia katika dakika ya 54 na kuonyesha kweli ni mwenye kipaji ingawa hakuweza kusaidia kupata matokeo.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV