November 5, 2016


Hatimaye bondia Mtanzania, Dulla Mbabe amepimwa uzito nchini Ujerumani kwa ajili ya pambano lake la leo.

Pambano hilo la kuwania mkanda wa WBC, litafanyika nchini humo na Mbabe na mpinzani wake, wameishapima uzito. Cheki taswira.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV