November 13, 2016


Unaweza kusema majina mengine burudani na ukitaka kujua Afrika Mashariki na kuna majina yenye matamshi ya burudani, moja wapo ni haya.

Picha hii, inaonyesha kiungo Shiza KICHUYA wa Simba akipambana na Jack KIYAI wa AFC Leopards ya Kenya wakati timu hizo zilipokutana katika maandalizi ya mwanzoni mwa msimu.


Kitu kizuri, majina yote hayana maana mbaya kwa maana ya karaha lakini utamkaji wake ni sehemu ya burudani hiyo kutoka Kenya na Tanzania.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic