November 2, 2016


Neema imekaribia kwa wapenda soka wa jiji la Mwanza na Watanzania wote baada ya nyasi kuanza kutandikwa kwenye Uwanja wa Nyamagana.

Uwanja wa Nyamagana uko katikati ya jiji la Mwanza na wakati fulani nusura serikali iutoe, eti ijengwe hoteli ya kitalii.

Juhudi za wapenda michezo kupiga kelele kung’ang’ania hilo, ilisaidia kwa kiasi kikubwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV