Mshambuliaji Marcus Rashford wa Manchester United ameonyesha kweli soka linalipa baada aya kutinga mazoezini akiwa na gari lake jipwa aina ya Mrcecedes Benz.
Gari hilo lina thamani ya pauni 60,000 (zaidi ya Sh milioni 150) ni gari jipya la mwanafunzi huyo ambaye amelipata baada ya mkataba wake mpya na Man United.
Rashford amekuwa na mwenendo mzuri akiwa na kikosi cha Man United pia kikosi cha timu ya taifa ya England.
0 COMMENTS:
Post a Comment