DStv wamezindua chaneli ya filamu za Kiswahili ijulikanayo kama Maisha Magic Bongo.
Uzinduzi ulikuwa juzi na ulifana kutokana na wadau wa filamu wakiwemo viongozi mbalimbali wa Serikali kama Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happy.
0 COMMENTS:
Post a Comment