December 25, 2016





Bondia Francis Cheka ametangaza hatapanda katika pambano lake dhidi ya Dulla Mbabe.

Pambano hilo linalofanyika jijini Dar es Salaam, linasubiriwa kwa hamu kuu na mashabiki wa ngumi.


Hii inatokana na Cheka kusafiri kwenda India kupigana ambako alipoteza pambano katika raundi ya tatu kwa TKO.

Baada ya ya hapo, anatakiwa kucheza leo dhidi ya Dulla, lakini yeye ametupia mtandaoni kupotia akaunti yake ya Facebook akisema hajalipwa.


Kumekuwa na taarifa kwamba kuna malumbano na kuwekeana fitna kati ya mapromota Jay Msangi aliyempeleka India na Kaike Siraju ambaye ameandaa pambano la leo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic