December 17, 2016



Kocha George Lwandamina amepanga kikosi chake cha kwanza cha mechi ya Ligi Kuu Bara wakati Yanga ikiivaa JKT Ruvu leo kwenye Uwanja wa Uhuru.

Alichofanya ni pamoja na kumrejesha Haruna Niyonzima namba 'yake', yaani namba nane huku kiungo mpya Justice Zulu akibaki benchi na Thabani Kamusoko akipewa nafasi hiyo ya kuanza.

Wachezaji wengine wanaonekana kuwa katika mfumo kama uleule kwa Kocha Hans van der Pluijm ambaye sasa ni mkurugenzi wa ufundi.


1. Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Haji
4. Kelvin Yondani
5. Vicent Bossou
6. Thabani Kamusoko
7. Simoni Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Donald Ngoma
10. Amissi Tambwe
11. Deus Kaseke

Akiba
- Ali Mustafa
- Hassan Kessy
- Vicent Andrew
- Justin Zulu
- Obrey Chirwa
- Juma Mahadhi

- Geofrey Mwashiuya

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic