December 22, 2016



Kikosi cha Manchester City ina mpango wa kumwaga pauni milioni 50 kumnasa beki wa kati wa Southampton.

Beki Virgil van Dijk ndiye anayeitoa jasho Man City ambayo chini ya Kocha Pep Guardiola inaona safe yake ya ulinzi haijatulia zaidi.


Van Dijk, 25, amekuwa beki gumzo tokea kuanza kwa Ligi Kuu England msimu huh na amekuwa akionekana kufuatiliwa na timu kadhaa lakini Man City wamekuwa wa kwanza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic