Mshambuliaji Carlos Tevez amefunga ndoa na mzazi mwenzake na mpenzi wake wa sikh nyingi. Walikuwa pamoja kama marafiki tokea wakiwa na miaka 13.
Tevez amefunga ndoa na Vanesa Mansilla sherehe zilizofanyika San Isidro jijini Buenos Aires. Wawili hao tayari wana watoto wawili, mabinti.
0 COMMENTS:
Post a Comment