Baada ya ukimya Emmanuel Adebayor amejiunga na Istanbul Basaksehir.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Real Madrid, Tottenham, Arsenal Man City na Crystal Palace na klabu hiyo inayoshikilia nafasi ya pili katika Ligi Kuu ya Uturuki.
Adebayor ,32, amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miezi 18 ikiwa ni siku chache baada ya Togo kutolewa katika michuano ya Afcon inayoendelea nchini Afcon.
0 COMMENTS:
Post a Comment