January 23, 2017Mtibwa Sugar imetamba kuendeleza makali yake kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports.

Msemaji wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru ametamba wataitwanga Polisi Moro katika mechi yao ya kombe hilo kesho.

“Tunachotaka sisi ni kusonga mbele, nafikiri umeona tulivyowapa shughuli Simba kwenye Ligi Kuu Bara.


“Tunataka kuendeleza soka safi la ushindani na kushinda ili tufanye vizuri Kombe la Shirikisho,” alisema Kifaru akijiamini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV