February 5, 2017


Kiungo wa Arsenal, Alex Oxlade-Chamberlain amewaomba radhi Wanaarsenal baada ya “kulaiki” post iliyokuwa ikisisitiza “Wenger aende zake”.

Mashabiki wa Arsenal Fan TV waliweka post hiyo wakionyesha kuchoshwa na Kocha Arsene Wenger wakimtaka aende baada ya kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Chelsea.


Baada ya hapo  Oxlade-Chamberlain alionekana akiwa “amelaiki” kama sehemu ya kuunga mono.


Lakini baadaye alitupia mtandaoni akiomba radhi kwamba hakumaanisha na wala hakuwa na nia ya kufanya hivyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV