February 11, 2017


Kwa muda, Man United wametoka katika nafasi ya 6 katika msimamo wa Ligi Kuu England baada ya kuichapa Watford kwa mabao 2-0.


Mabao hayo yamefungwa na Anthony martial na Juan Mata aliyefunga la kwanza na kuifanya Man United ifikishe pointi 49 hadi katika nafasi ya tano.


Matokeo ya mechi zijazo kama ile kati ya Liverpool dhidi ya Tottenham inaweza kuirejesha Man United kwenye nafasi ya sita tena!
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV