February 28, 2017



Pamoja na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Liverpool  mashabiki wa Leicester City wameiwaita wachezaji wao ni nyoka.


Mashabiki wanaonyesha kuchukizwa baada ya kuanza kushinda mara tu baada ya kufukuzwa kwa Kocha, Claudio Ranieri.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV