Mshambuliaji Mwabana Samatta ameendelea kung’ara nchini Ubelgiji baada ya kuifungia Genk katika ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Sint-Truiden.
Genk na Sint-Truiden ni majirani na wanapokutana kunakuwa na upinzani mkali.
Samatta aliyecheza kwa dakika zote 90 alifunga moja ya mabao hayo matatu mengine yakifungwa na Alejandro Pozuelo aliyefunga bao la kwanza katika dakika ya 37 na Rusian Malinovskiy.
0 COMMENTS:
Post a Comment