Walinzi wa Uwanja wa Stamford Bridge walilazimika kuwazuia mashabiki kuendelea na zoezi na kupiga picha na Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger ambaye alikuwa jukwaani.
Wenger alikuwa jukwaani akitumikia adhabu ya mechi tatu kutokuwa katika benchi wakati Chelsea ikiitwanga Arsenal 3-1
0 COMMENTS:
Post a Comment