Barcelona wameonyesha umakini wa hali ya juu katika mechi yao dhidi ya PSG.
Kwani katika mashuti manne yaliyolenga lango, tayari wamefunga matatu.
Moja ni lile la beki wa PSG kujifunga lakini mawili ni Luis Suarez na penalti ya Lionel Messi.
Baada ya hapo, Barcelona wanachosubiri ni bao moja ili kusawazisha kufikia 4-4 na kuanza kutafuta la ushindi.
Kikubwa kwao ni kujilinda wasifungwe hata bao moja.
0 COMMENTS:
Post a Comment