March 15, 2017


Yule  mtoto aitwaye Aziz aliyevaa fulana iliyochorwa jina la Ajibu namba 23, ametafutwa na kupatikana.

Dogo huyo alivaa jezi hiyo kwenye mechi kati ya Simba dhidi Polisi Dodoma kwenye Uwanja wa Jamhuri.


Baada ya hapo, Simba waliamua kumtafuta na kumkabidhi jezi orijino ya Ajibu ambaye ni moja ya nyota makinda waliokulia kisoka katika klabu ya Simba.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV