March 14, 2017Wakati Chelsea ikivaa Man United na kuifunga bao 1-0 katika mechi ya robo fainali ya Kombe la FA, Eden Hazard ndiye mchezaji aliyefanyiwa madhambi zaidi katika michuano hiyo.

Tayari imefika hatua ya nusu fainali lakini Mbelgiji huyo hadi sasa anaongoza kwa kufanyiwa madhambi akifuatiwa na Wilfred Zaha ambaye timu yake ya Crystal Palace ilishang’olewa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV