March 14, 2017


Ng’olo Kante wa Chelsea si kiungo ghali kama Paul Pogba wa Chelsea kwa kuwa alinunuliwa kwa pauni milioni 30 akitokea Leicester City.

Lakini Pogba aliyenunuliwa kwa pauni milioni 89, usiku wa kuamkia leo alikutana na kazi ngumu dhidi ya Kante ambaye ni Mfaransa mwenzake.


Kante ndiye alikuwa bora zaidi katikati ya uwanja akimfunika Pogba mbali kabisa katika pasi zilizofika, pasi nyingi na kadhalika na raha zaidi ndiye aliyepiga bao pekee la ushindi Chelsea ikiitwanga Man United kwa bao 1-0 na kutinga nusu fainali ya Kombe la FA.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV